Friday, June 10, 2011

HIGUAIN AMTAKA SERGIO AGUERO MADRID

HIGUAIN AMTAKA SERGIO AGUERO MADRID

June 8, 2011

Mshambuliaji wa madrid ameeleza kuwa angependelea kuwa anacheza sambamba na muargentina mwenzake huyo katika klabu yake yareal madrid.
Mchezaji huyo amesema kuwa yeye sio kazi yake kusajili ni kazi ya Florentino Perez lakini angependelea kucheza na muagentna mwenzake huyo. habari zinaendelea kueleza kuwa sergio aguero mwenyewe anataka kuihama klabu yake aliyopo sasa hivi ya Atletico Madrid na hakusita kueleza kuwa andgependa kuendelea kucheza katika nchi hiyo ya hispania pamoja na kuhusishwa na kuhamia katika vilabu mbali mbali vya nchini England zikiwamo Chelsea na Manchester City.

No comments:

Post a Comment